Njama za Adui
        
        TEHRAN (IQNA)- Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, stratejia hatari zaidi ambayo adui ameamua kutumia ni vita vya kinafsi na kisaikolojia.
                Habari ID: 3475661               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/08/22